Saturday 17 May 2014

HAJAWAHI KUNIPELEKA KWAKE HATA SIKU MOJA KILA SIKU GESTI TU, SIMUELEWI..!!

https://www.facebook.com/theclicktzJamani nimezama kwenye penzi la dada fulani, anadai anaishi maeneo ya mbezi lakini kila siku nikimuambia habari za kwenda kwake anadai ni mbali halafu kuna foleni sana bora
tuchukue tu gesti tupumzike, huku huku maeneo ya sinza, sasa hivi inakaribia miezi sita, mchezo ni huo huo. hebu niambieni wadau isije ikawa ni mke wa mtu huyu ananizingua tu..!! ikaja kuwa balaa