Monday 26 May 2014

HUDDAHMONROE WAWA GUMZO NA DAVIDO


Okey okey once again its huddahmonroe and davido on the kick, kama ulikuwa hujui basi last weeknd mwanadada wa kenya huddah monroe alispend tym yake na staa wa music
wa nigeria,, na leo kupitiamtandao wako wa makubwa haya staa huyo ameconfirm kuwa alispend nae almost weeknd yote na davido, na hiyo haikotosha aliamua na kupost picha yake na davido kwenye mitandio ya kijamii kama instagram, swali la kujiuliza, kwa wale wanaomjua huddah vzuri, kweli davido atakuwa kamuacha huyo hivihivi yaani?? Duuh basi sawa