Tuesday 20 May 2014

KUMBE HAWA WASANII NI MAKAHABA, WANAJIUZA!!! SOMA HAPA......!!!!

Kwa mujibu wa mtandao wa facts.com kutoka Uganda, wasanii waliopo kwenye picha hapo juu ambao wao wamekuwa wakijiita masocialite, yaani watu maarufu kwenye
mitandao ya kijamii ni makahaba. Wasanii hawa wamejipatia umaarufu mkubwa sana 
Hapa Afrika Mashariki kutokana na kuwa wanashindana kutupia picha za uchi kwenye social media. Tabia hii inaelezewa kuwa ni ukahaba ulioenda shule ambapo wanaume wanaochachawa na mapicha huwa wanawatafuta na kumake nao madili ya biashara 'KUJIUZA'
Tanzania
Nchini Tanzania wasanii ambao ndio mchezo wao kwa mujibu wa facts.com, ni Agnes Masogange,
Loveness Love au maarufu kwa jina la Diva. Kwa pamoja hawa wamekuwa na tabia ya kucheza huo mchezo, wanapenda sana kuachia picha zenye kuchochea hamasa ya ngono katika mitandao ya kijamii.
Kenya
Kenya ndiko biashara ilipoanzia baada ya hawa wasanii kuanza hiyo biashara ambayo baadhi yao imewabadilishia maisha kabisa. Wasanii wa Kenya wenye kamchezo ka kujiuza ni Corazon Kwamboka ambaye haipiti wiki hajaweka picha/movie akiwa uchi, 

Mwingine ni Huddah Monroe ambaye huyu ndio sikio la kufa kabisaaaa, yeye na picha za uchi ni sawa na kiatu na mguu. Mwingine ni Vera Sidika ambaye amejipatia umaarufu kutokana na shape yake ya nyuma maana kajaaliwa kweli. TUNAWAKEMEA WAACHE HII TABIA MAANA WANAWAAIBISHA NDUGU ZAO