Monday 26 May 2014

KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!






  1. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki
    wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
  2. Re: KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!
    Quote By Sumbalawinyo
    mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
    nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
    niko tayari kupokea kila picha
    mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
    party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.
    Kwa Ruksa yako Mkuu . . . LOL