Tuesday 28 October 2014

PICHAZ: VAI WA UKWELI AMESHINDIKANA…..AFUMWA AKIFANYA MAMBO YA AIBU MBELE YA MIDUME, HII NI MARA YA SITA KUSHIRIKI MATENDO YA UZINZI…

image
Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu msanii wa
Tasnia ya Filamu anayejulikana kwa jina la
Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuripotiwa
kujiuza, sasa msanii huyo amekumbwa na
kashfa nyingine ya kupiga picha za uchi
zikimuonesha akivua nguo mbele ya
wanaume….
Akiongea na mpekuzi wetu, mtu mmoja
aliyejitambulisha kwa jina la Bonny alisema
picha hizo zimetawala kwenye mitandao ya
kijamii hali inayozidi kumuweka pabaya msanii
huyo katika ushiriki wa kazi za klabu ya Bongo
Movie Unity yenye uongozi mpya ambayo
imekemea vitendo visivyoendana na maadili ya
kitanzania….

image
Bonny alisema picha hizo aliuziwa na jamaa
mmoja kwa kurushiwa kwenye simu kwani
yeye amekuwa na utaratibu wa kukusanya
picha za mastaa waliokuwa katika pozi na
kuzihifadhi kwenye simu yake….

“Lakini kinachoniuma ni kwamba huyu binti
namjua tangu akiwa mdogo na amewahi kuwa
mshikaji wangu,nimewahi kumshauri aachane
na huo ujinga wa kupiga picha zisizo na
maadili lakini amekuwa hanisikii,safari hii
nimezifuma picha hizi alizopiga akiwavulia
nguo wanaume kibao waliokuwa wakimtazama
bila aibu” Alisema Bonny
Aliendelea kusema picha hizo mbali ya
kuonyesha sehemu zake muhimu lakini
zinakiuka heshima ya mwanamke ambapo
anatakiwa kujihifadhi sehemu nyeti ambazo
zinastahili kuonwa na mtu wake wa karibu tu..
Kufuatia kukithiri kwa vitendo vya kikahaba
katika kundi la Bongo Movie Unity, uongozi
mpya uliochini ya Steve Nyerere umetoa
tahadhari kwa wanachama wake watakaoshiriki
mambo yaliyokinyume na maadili…