Tuesday 28 October 2014

IRINE UWOYA KUMBE HAVAAGI CHUPI aka KUFULI.. SOMA HAPA AKISEMA MWENYEWE!!


Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.