Saturday 25 October 2014

LOL! MAKUBWA HAYA SASA, ADAI ASIFUATILIWE KWA VILE NI YEYE MWENYEWE ALIAMUA KUMVULIA NGUO.


Imekua ni shida siku hizi, yani watu wanataka uwe na mtu wanao mtaka wao, nilimpenda kijana fulani, kwa kweli sikutarajia hata kama ningeweza kumpa tunda kwa haraka namna ile...
lakini nilijikuta tu sikumoja nafanya hivyo kwakweli siku lazimishwa na mtu nilivua mwenyewe na kwakweli sijutiii maamuzi yangu,
ila imekua shida kwa marafiki zangu wanasema vibaya kuhusu mimi kutembea na mpenzi wangu huyo, kwakweli mi nampenda ndio mana hata sijutii. 
Wengine wanadai kuwa haitachukua muda ataniacha lakini yote heri tu. MNIACHE