Friday 13 March 2015

Sipendi Watu Wanavyoniambia Nina Kalio Fake, Wakati Nimebarikiwa na Mungu

Admin , Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa ,
kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa Wabongo Acheni Ushamba