Saturday 14 March 2015

HII INAITWA TOROKA UJE!!! MKE WA MTU ABAMBIWA NA MIDUME 5 TOFAUTI MUMEWE KAMTOROKA NYUMBANI DUUH!!!



BINTI aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu, hivi karibuni alimtoroka bwana’ke na kuonekana akijiachia hovyo na wanaume watano tofauti katika Ukumbi
wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam kulipokuwa na onyesho la Bendi ya Taarabu ya Mashauzi Classic.





Akionekana kuwa ‘vizuri’ kichwani, kwa kiburudisho alichopata usiku mnene, binti huyo alionyesha umahiri mkubwa wa kukata mauno kiasi cha kuwavutia wanaume ambao kila mmoja alitaka kuwa naye karibu kiasi cha kumfanya kuwa bize kwa kila wimbo kulazimika kucheza na wanaume tofauti.



“Hii ni aibu jamani, mke wa mtu kucheza namna hii mbaya zaidi hadi nguo inamvuka yeye hata habari hana,” alisema mmoja wa mashabiki.Hadi mdakuzi wetu anaondoka eneo hilo, mrembo huyo alikuwa akiendelea kufanya mavituz yake jukwaani.