Monday 9 March 2015

BAADA YA KUFAKAMIA POMBE NA KUTAKA KUOGELEA MWANA DADA AUMBUKA COCO BEACH


Jionee huyu dada aliye piga tungi kiasi ambacho kupelekea kumwaga radhi na kuwa kero mbele ya watu wengine walioenda kupata starehe zao huko

coco beach.
Kikubwa zaidi ni ile hali ya kuto kuthamini utu na uhai wake ndicho kilicho wajaza jazba watu kiasi cha kutaka kumpa kichapo.
"Hivi huyu ni mwenda wazimu au anaakili timamu sasa ndo anataka kuogelea baharini ilihali kaletwa nzwiiiiii!!! asije akatufia hapa tukaitwa ushahidi bure" alilalama mtu mmoja alieshudia tukio hilo.
TAZAMA VIDEO MWENYEWE: