Sunday 29 March 2015

HAYA NDIO MANENO MATAMU YA KIMAHABA YATAKAYOMFANYA MPENZI WAKO AWE NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI



Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni manenoau kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "ny#ge"kabla ya kuanza kufanya map3nzi.
Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitiasms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitiasms ndo inasisimua zaidi!

-Hapa najua naongea na watu wazima, sinahaja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasamkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my l0ve" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya map#nzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana!