Tuesday 31 March 2015

Eti mwanaume hawezi kukaa wiki bila kufanya mapenzi?

Eti naomba kuuliza ni muda gani mwanaume anaweza kuishi bila kufanya mapenzi? Sababu iliyonipelekea kuuliza hivi ni kwamba, nina huyu boyfriend mpya yeye anasema hawezi kukaa wiki
bila kufanya ngono na hii imempelekea yeye kua addicted na kujichua.


Ambapo kwa siku anaweza afanye punyeto mara mbili ili kuepukana kua na wasichana wengi pamoja na kuogopa magonjwa nakutulizahaja zake na kwamba kwa fano akisex tu akipita masaa 72 anakuwa na hamu ambayo haizuiliki.

Hivi ni kweli au huyu mtu anapepo la ngono kwa sababu napata picha kama nikiwa period au nikijiunga si ndio uzaledo utamshinda kabisa.