Friday 13 March 2015

NILIJUA NI MCHUMBA NIMEMPATA KUMBE NI DADA YANGU KABISA

Nilijua nimchumba nimepata kumbe ni dada yangu kabisa, Tumekuja kutambua kama sisi ni ndugu tukiwa tayari tumesha vunja amri ya sita zaidi ya mara moja, tumekuatana chuoni
na kuanza mahusiano kwa muda wa miezi sita sasa baadae alinionyesha picha ya baba yake ambaye mimi ni mjomba angu kabisa aliyekuwa akiishi huko Musoma. Nilishtuka sana ikabidi nimuambie tu ukweli kuwa baba yako ni mjomba angu wa hakushtuka neno lililomtoka mdomoni mwake ni kwamba sisi hatuna makosa, hatukujua..!!

MDAU: KOSA NI LA NANI HAPO WAZAZI AU WATOTO..? Nitaendelea kukupa stori kali kila siku Jiunge nami >