Friday 19 December 2014

TAZAMA VIDEO USHUHUDIE KIBABU KIKIPELEKESHWA NA KATOTO KADOGO

Huku watanzania wakiwa katika heka heka ya kujiuliza kwa nini kiwango cha elimu kimezidi kushuka kila mwaka wadau wameanza kupata majibu kuwa yawezekana mporomoko wa maadili unaweza ukawa chanzo kikubwa katika hilo kwani siku za hivi karibuni 
matukio mengi ya mmomonyoko wa maadili hayo umekuwa ukikuwa kwa kasi kubwa. hebu angalia hii kama wewe ungekuwepo eneo hilo ungechekelea kama walivyofanya hawa au ungechukua hatua gani?