Picha halisi iliyowekwa kwenye Intanet.KAMA UPO DODOMA USIKOSE IJUMAA HII YA TAR 14/11/2014KWENYE TAMASHA LA WANAVYUO WOOOTE WA DODOMA LITAKALOFANYIKA
PICHA za utupu alizoweka mtangazaji wa Marekani, mwanadada Kim Kardashian, kwenye jarida la Paper la Marekani na Intanet zimevutia watu wengi ambapo wengine 'walizichezea' kwenye kompyuta na kumwonyesha kama nusu mtu na nusu mnyama aitwaye kentauro (centaur) hasa sehemu yake ya nyuma.