Friday 14 November 2014

MTOTO WA MCHUNGAJI MASHUHURI HAPA TANZANIA ASHANGAZA WAUMINI WA BABA YAKE

image
Huyu ni mtoto wa mchungaji
mashuhuri sana katika taifa letu
lakini anamtia baba yake aibu kwa
sababu toka aende ughaibuni,


yaani Marekani kimasomo, imekuwa
ni shidaaaaaaaaa!!!


Ata bila aibu yeyote anavaa hivi
hivi hata katika maeneo ambayo
siyo ya mitoko hii. Dunia ina
mengi sana!!!
Sema uzuri mmoja ni kwamba kwa
wenzetu hili ni jambo la kawaida,
ingekuwa ni kwetu sasa!!!!!
Picha hizi zilipotumwa kwa baba
yake alitaka kuzimia kwani alijua
kuwa amempoteza mtoto! Pia
hakutegemea kuwa angeweza
kubadilika kwa kipindi kifupi
namna hiyo, tena huku akijua
dhahiri kuwa yeye ni mtoto wa
Mchungaji mashuhuri!!!!