Thursday 20 November 2014

JE KUMPIGA PICHA AU VIDEO ZA UCHI MPENZI WAKO NI SAHIHI AU NI UJINGA??


Kuna kitu kinanitesa sana kimawazo.....,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa au kuoana unaweza kumpiga picha za uchi au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?  Nani sasa ivi ameoa au ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?

Nakaribisha maoni yenu wadau....
Andika comment hapo chini...