Tuesday 4 November 2014

BAADA YA KUGOMA KWA KIPINDI KIREFU ,HATIMAYE MODEL ''RISPER FAITH'' AANZA KUPIGA PICHA CHAFU


Model maarufu anaejulikana kama ''risper faith'' ameonekana kusitisha mpango wake wa muda mrefu wa kususia dili ya kupiga picha za umodel akiwa nusu uchi.(chupi+bra)
Model huyo ambae awali aligoma kupigwa picha akiwa na chupi tu, sasa amesitisha mpango wake baada ya picha zake zinazomuonyesha akiwa na chupi+bra kuzagaa mtandaoni....
 

 
Picha ya model huyo kabla hajabadilisha msimamo wake....


Mpango ndio huo..kama unavyoona...