Saturday 23 July 2016

MCHUNGAJI AFUMANIWA AKIMUOGESHA MKE WA MTU

Mchungaji alipigwa picha hii wakati akiosha mke wa mtu ambaye alikuwa uchi wakati wa mfululizo wa maombi ya utakaso.

Picha hiyo imeleta mzozo na maswali mengi nchini Ghana. 

Mmoja wao alisikika akisema "Tumesikia hizi habari za wachungaji kuosha wake za watu, lakini leo tumemkamata huyu waziwazi....Wapi kwenye Biblia au maandiko yanayosema Yesu kaosha mtu uchi"?

"Wapi kwenye Biblia panaposema ukifanya mapenzi na mchungaji kutatatua matatizo yako"?

Inasemekana mambo hayo ya wachungaji nchini Ghana yamekuwa ni mengi sana.