Thursday 30 April 2015

YAJUE MADHARA MAKUBWA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE!



Ngono kinyume na maumbile au wengine husema Ngono kwanjia ya haja kubwa, ni hali ya kingono ambayo mhusika huingiza uume katika njia ya haja kubwa kwa lengo la kufanya mapenzi kwa njia hiyo ili kujiridhisha hisia zake.Watu ambao wanajishughulishana kushiriki katika ngono ya njia hiiya kinyume na maumbile
wapo katika hatari kubwa ya kiafya, kwa sababu njia ya haja kubwa inazungukwa na mishipa/neva nyingi sana zipo eneo hilo ambalo kazi zake si maalumu kwa tendo la ngono kwa kuingiziwa kitu ambacho hakistahili eneo hilo.Ambapo kwa utafiti uliofanyika Nchini Tanzania uliohusisha wasichana na wanawake wa rika kuanzia miaka 15 na kuendelea na iliyohusisha kada tofauti katika jamii kama wanafuzi, wafanyakazi, wahudumu wa baa, wauguzi, makahaba na kina mama wa majumbani katika maeneo tofauti.Watu waliojitokeza ni 903 wakiwemopia wanaume walihusika katika tafiti hiyo.Utafiti huo ulisema wanawake 44 katiya 166 waliohojiwa walisema kuwa wamewahi kufanya tendo la kujamiiana kinyume na maumbile ambao ni sawa na asilimia 27 huku asilimia 73 ya waliohojiwa walidai kufahamu njia hiyo ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, katika Utafiti huo ulifanywa na Irene Mremi kutoka Taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Nchini Tanzania.Pia, Inakadiriwa kuwa asilimia 90% ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao (mashoga) huwa wanajihusishana ngono kinyume na maumbileJE, NGONO KINYUME NA MAUMBILE NI SALAMA?HAPANA, Ngono kinyume na maumbile si salamakwa sababu ina madhara mengikiafya kama yafuatavyo;MOJA, Njia ya haja kubwa hainavilainishi/lubrication asilia kama jinsiUke ulivyo.Hivyo wakati wa tendo la ngonohusasani wakati wa uingizaji wauume huwa inasababisha kuchubuka kwa tisu/ngozi laini ndani ya njia ya haja kubwa hiyo, na hivyo kupelekea michubuko ambayo bacteria, virusi na hata vimelea vingine kuweza kupenya wakati wa majeraha hayo ya michubuko na hivyo kuingia katika mfumo wa damukupitia majeraha hayo.Hii inaweza kusababisha kuenea kwa magonjwa ya zinaa pamoja na VVU.Tafiti zinaonyesha ya kuwa Ngono kwa Njia ya haja kubwa ipo katika hatari kubwa ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa zaidi ya asilimia 30% kuliko watu wanaotumia njia ngono kwa njia ya Uke.Vile vile mtu anakuwa katika hatari kubwa ya kupata virusi vya human papillomavirus (HPV) ambavyo huweza kumpelekea mtu anayejihusisha na ngono kinyume na maumbile kupata muwasho katika eneo hilo la haja kubwa na hata kupelekea kupata kansa.PILI, Tishu ndani ya njia ya haja kubwa, haijakingwa na kulindwakwa ngozi ngumu kama ilivyo sehemu za nje za mwili. Tishu zote za nje ya miili yetu zina ngozi ambayo ni seli zilizokufa ambazo hutusaidia kutukinga dhidi ya maabukizi ya vimelea na vile vile hutulinda na vitu tofauti katika mazingira.Hivyo ndani ya njia ya haja kubwa hakujakingwa na ulizi huo wa asili wa seli hizo ili kuweza kuhimili, hivyokuifanya iwe katika hatari kubwa ya kusuguliwa na hivyo kuchanika ambayo hupekea kusababisha maambukizi kuwa rahisi kutokea.Pia ngozi ndani ya njia ya haja kubwaiko tofauti na ile ya ukeni ambapo ngozi ya ukeni huweza kuhimili ile misuguano pasipo kuweza kusababisha michumbuko kwa sababu ya vilainishi asili vinavyoatikana ndian ya uke na gozi husika.TATU, Njia ya haya kubwa ni Maalumu kupitisha Kinyesi tu.Kwa jinsi ambavyo njia hii imeundwaama kutengenezwa nimaalumu kwa kuhimili na kupitisha kinyeshi tu na si vinginevyo.Njia ya haja kubwa imezungukwa na kama misuli mfano wa ringi ama kwakitaalamu huitwa (Anal sphincter) ambayo kazi yake ni kukaza eneo hilo kabla na baada ya kujisaidia tu.Kipindi ambapo misuli hiyo (anal sphincter)imekazwa ama kubwakwakuingiziwa kitu kingine kigumu huweza kusababisha maumivu makali kwa muhusika.Panapoendelea kuwa na mrudiowa mara kwa mara wa ufanyaji wa Ngono kwa njia hii ya haja kubwa ama kinyume na maumbile hufanya misuli hiyo ya njia ya haja kubwa kuwa dhaifu ama kulegea na isiwe nauwezo tena wakukaza kama kazi yake inavyotakiwa kufanya.Na hivyo kuwa vigumu kuweza kuzuia kinyesi kuweza kupita mpaka utapokuwa tayari kuweza kukitoa hivyo kusababisha utokaji ovyo wa kinyesi.NNE, Njia ya haja kubwa imejaa bacteria wengi.Njia ya haja kubwa imejaa bacteria wengi sana tofauti na Ukeni kulivyo hata kama wapenzi hawana maambukizi yeyote ya zinaa au ugonjwa wowote bacteria huwa wapo tu eneo hilo na hawa ni bacteria wa kawaida (Normal flora).Mtu anapokuwa naingiza uume ndani ya njia ya haja kuwa anakuwa anaingiza vimelea vingine vya bacteria katika eneo hilo na wanapokutana na wale bacteria wengine waliopo katika eneo hilo husababisha madhara.Pia pale unapohamisha uume toka katika njia ya haja kubwa na kupeleka katika Njia ya Uke badi bacteria hao utawapeleka katika eneo Uke ambapo Njia yahaja kubwa inakuwa na bacteriawengi nahivyo kupelekea maambukizi ukeni na pia maambukizi katika njia mkojo.Ngono kwa njia ya haja kubwa inaweza kusababisha madhara mengine kwa afya ya watu wanaojihusisha na Njia hii ya ngono na wanaweza kupata madhaara kama haya yafuatayo,Pale mdomo unapogusana na njia yahaja kubwa au kugusa uume uliotokakwenye njia ya haja kuwa kwa mdomo kunaweza kupelekea kupata kwa wote mtuna mpenzi wake kuwa katika hatari ya kupataa magonjwa ya HEPATITIS C, HERPES/ malengelenge, kupata virusi vyahuman papillomavirus (HPV) namaambukizo mengine.Hata hivyo, majeraha makubwa wakati wa ngono kwa njia ya haja kubwa mara nyingine ingawa sio kila mara hali hii kutokea inaweza kupelekea Damu kuvuja kwa ndani (hemorrhoids) baada ya tendo hilo kufanyika ambalo inaweza kusababisha au kupasuka ama kuchanika kwa misuli/nyama ndani ya njia ya haya kubwa kwa sababu yamsuguano mkali na muda mwingine hupelekea kuweza kutoboka kwa utumbo mpana(colon) hii huweza kwa nitukio la hatari zaidi ambalo huhitaji msaada wa kitabibu haraka kwa matibabu na hata kufanyiwa upasuaji zaidi na hata kupoteza maisha kunaweza kutokea.TANO, pia kwa wanawake wengiwanaofanya ngono kinyume na maumbile wamekuwa wakipata shida wakati wa kujifungua kwa misuli yao kushindwa kuhimili kukaza kwakati wa kusukuma mtoto na hivyo inaweza kupelekea utokaji wa kinyesi wakati wa kusukuma mtoto. jambo ambalo huleta tabu kwa wahudumu wa afya kwa kutumiamuda mwigi kuwahudumia.Njia pekee ya kuepuka kabisa hatari hizo za ngono kinyume na maumbileni kuacha kabisa ngono kwa njia hiyo ya haja kubwa.shiriki katika ngono kwa njia ya kawaida na ikibidi kwa kutumia kondomu ili kujilinda dhidi ya kueneakwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa.Kuepuka kuingiza uume ndani ya ukena kisha mdomoni ikiwa uume ulikuwa umeingizwa katika njia ya haja kubwa.Ikiwa umepata michubuko na kutokadamu baada ya ngono ama vidonda karibia na njia ya haja kubwa na hata katika maeneo ya uke basi onana na daktari wako haraka iwezekanavyo iliupatiwe tiba hii iakusaidi kuzuia maambukizi ya vimelea katika eneo la jeraha.MADHARA ANAYOWEZA KUYAPATA MWANAUME ANAYEPENDA KUJIHUSISHA NA MCHEZO HUU WA NGONO NI KAMA IFUATAVYO;KWANZA, Kuna uwezekano wa Njia yahaja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa kwa sababu yavimelea kuingia na kuziba ama kuingia kwa kinyesi katika njia ya haja ndogo hivyo kukuweka katika wakati mgumu utapohitaji kujisaidia haja ndogo.PILI,unaweza kupata magonjwa ya saratani(kansa) ya tezi tezi Prostate glandTATU,Maambukizi ya Virusi vya ukimwi kwa sababu kuna uwezekanomkubwa sana wa kupata maabukizi tofauti na kwenye njia ya Uke hii ni kutokana na kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata michubuko kiurahisiNNE, Kuathirika kisaikolojia hivyo mhusika kuandamwa na msongo wa mawazo kila wakati kujutia tendo hili baya.Nina imani ndugu msomaji wa makala hii umeweza kuona madhara mabaya sana ya tabia hii mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako ama kuingiliwa kwa namna hiyo na kuona raha lakini umeziona hasara zake, amabazo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.Jiepushe na kuiga mambo bila kujua hasara zake, pia usimtie mwenzako majaribu kwa kumlazimisha kufanya kitendo hiki na wanaume kwa kigezo cha kuachwa kwa lengo la kuwaingilia kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.Kipi bora kuharibiwa ama kuachwa?Jibu unalo mhusika!!Kumbuka baada ya kuharibwa thamani yako inashuka mbele ya jamii. Kasha kupelekea kuingia katikamsongo wa mawazo na mateso ya ugonjwa ama magonjwa utakayoyapata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
UKWELI MCHEZO HUU UMEWAATHIRI SANA WANAWAKE AMBAO WENGI WANAUJUTIA.JIEPUSHE NA NGONO KINYUME NA MAUMBILE!!!!

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out