Monday 27 April 2015

Jifunze Jinsi ya kumtoa mwanamke Bikra bila maumivu.




Habari zenu wapendwa, Last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa MDAU WETU WA KIKE,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na
anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake. Kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience, aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe.


Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. 


Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia, kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu) 


Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo, 


1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA ASHKI ZAKO 
Wanawake/wasichana wengi wenye bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia)

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out