Wednesday 19 August 2015

Tatizo la kukataliwa na wasichana Kila Ninapotongoza..Naombeni Ushahuri

Ndugu zangu kila ninapotongoza wasichana wananikataa.
Sijui sababu ya kukataliwa mwishowe huwa naishia kupiga punyeto au kununua dada poa
Nisaidien ndugu nipate technic nataka niwe na msichana wangu Peke yangu.

JIBU KUTOKA KWA AUNTY MAPENZI RAHA:
Hebu chunguza yafuatayo.
Unapiga mswaki?
Unanuka kikwapa?
Au unafuaga nguo vizuri?
Unapiga pasi?
Miguu yako inatoa harufu ukivaa viatu?
Unanyoaga nywele za kichwani na kidevuni na mashavuni?
Una mkwanja?
Kama majibu ya maswali yote haya ni NDIO basi nadhani inabidi ukasafishiwe Nyota yako kanisani.
Sio Bagamoyo.
Tuanzie hapo kwanza
Halafu kumbuka kuweka umri wako hapa wakati unajibu maswali haya.
Vigezo na masharti kuzingatiwa

Je wewe una mshauri nini Huyu Jamaaa?