Video: Fergie – Life Goes On Msanii wa kundi la Black Eyed Peas ‘Fergie’ ametoa video mpya ya wimbo wake “Life Goes On”, wimbo huu kwenye album yake ya “Double Dutchess” inayotoka 2017 ikiwa na wasanii kama Nicki Minaj, Rae Sremmurd na will.i.am. Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook