Wednesday 17 February 2016

Barua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff kutoka gerezani China


Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia mwandishi wa habari na Mtangazaji Millard Ayo barua
ili aisome kwa Watanzania, bonyeza play kwenye hii video hapa chini….

U