Wednesday 20 January 2016

Mrembo Gigy Money Aja na Mpya..Apiga Picha za Nusu Utupu na Kuziweka Mtandaoni..Wadau Wakereka

Gigi! Kuna mtu kakwambia ukipiga picha hizo unapendeza? Kakudanganya! Una umbo zuri ukivaa mavazi flani ya kujisitiri unapendeza zaidi na bado umbo litaonekana!


Labda kama Una mpango wa kufanya sex tape!!
.
Ni maisha yako binafsi hayatuhusu? Well! Usiyaweke mtandaoni ulimaanisha tukuone na tukujadili! Watu wanajiachia ila wewe ni too much!! 


Soma Baadhi ya Comments za Wadau Walivyokasirika;


vinny_cruzz; Naomba kujua kabila la huyu dada.....alaf ni mtanzania??maana wazaz au ndugu wa karb wangeshakuja juu kama ni wakibongo...hawa ndo wanafanya jua liwe kali na nuksi ziongezekege


kitoberoo; Hayo mambo amuachie tunda..!!hata kama anatufuta madanga bac atapata majanga loh Sio kwa michup hyo kama fuko la mashine


luidjacqueline; Yaani huyu mtu ni chefuchefu moja chaaafu hadi kinyaa! Ptuuu


Mdau na wewe una ushauri Gani Kwa Gigy Money?





ANDIKA MAONI YAKO HAPA CHINI